Monday, 21 April 2014
Baada ya kudumu zaidi ya miaka kumi Kundi maharufu Nchi Nigeria maharufu Kama P square Limefarakana
Saturday, 19 April 2014
Mchakato wa kupata katiba mpya Weendelea huko mjini Dodoma katika Bunge la Jamuhuri ya Muhungano wa Tanzania licha ya kutokea migogoro ya hapa na pale kwa baadhi ya wabunge.
Friday, 18 April 2014
Diamond platnumz ambae ni msanii wa bongo fleva ambae alimpatia malehemu Mzee ngurumo gari aina ya Noah. Akuweza kuhudhulia katika mazishi ya Mwanamuziki huyo mkongwe hapa Tanzania
Monday, 14 April 2014
Tathnia ya muziki yapata majonzi baada ya kumpoteza msanii Nguli wa muziki Mzee Ngurumo
Sunday, 13 April 2014
Azam fc kwa mara ya kwanza imechukua kombe la ligi kuu Tanzania bara msimu huu.Baada ya leo kumchapa mbeya city bao 2 kwa 1,Na kutangazwa kuwa mshindi
Mob classic kwa sasa inapatikana kwenye facebook like page yetu ili uweze kupata mambo mbalimbali kutoka kwetu.
Newer Posts
Home
Subscribe to:
Comments (Atom)